Habari kuhusu Benin

Benin: Kampeni ya Kusaka Wahalifu Yawagawa Wananchi

  7 Julai 2013

Ikiwa imezinduliwa na wizara ya Mambo ya Ndani, Ulinzi wa Umma na Dini, kampeni ya Djakpata yenye lengo la kuwasaka wahalifu wote wanaojihusisha na shughuli zisizo halali ambazo zinaweza kuhatarisha hali ya utulivu ya wananchi wa Benin. Hata hivyo, kwa siku chache zilizopita, wananchi wamekuwa na maoni tofauti sana kuhusu jambo hili.

Matatizo Makuu ya Raia wa Benin ni Yapi?

  7 Juni 2013

Tite Yokossi anafunua matokeo ya kura ya maoni iliyoendeshwa na Mfuko wa Zinsou ambao uliwauliza wananchi wa Benin ni yapi ndiyo matatizo yao makuu leo [fr]. Tatizo la kwanza lililoorodheshwa lilikuwa uwezo mdogo wa...