Habari kuhusu Liberia

Kuhoji Kimya cha Vyombo vya Habari Siku za Wikiendi Kuhusu Habari za Ebola

  29 Septemba 2014

“Ni lini Habari za Ebola zitatangazwa kwa masaa 24 siku saba za wiki?,” anauliza Profesa Crawford Kilian wa Marekani na Kanada: Nimezoea kusikia habari mpya zikisitishwa kutangazwa nyakati za wikiendi. Vyombo vya habari, mashirika ya serikali, Asasi za Kiraia vyote vikiishia kutangaza habari siku ya Ijumaa mchana na kuibukia siku...

Vyombo vya Habari vya Magharibi na Taswira ya Ellen Sirleaf Johnson

  24 Septemba 2013

Aaron Leaf anajadili jinsi taswira ya rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, hujengwa na vyombo vya habari kimagharibi kama alama ya mambo yote mazuri. Anasema kwamba hili ndiyo simulizi lililomwezesha Sirleaf kuwa mhimili wa maendeleo ya kimataifa na uwezeshaji wa wanawake.