Habari kuhusu Liberia kutoka Septemba, 2013

Vyombo vya Habari vya Magharibi na Taswira ya Ellen Sirleaf Johnson

  24 Septemba 2013

Aaron Leaf anajadili jinsi taswira ya rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, hujengwa na vyombo vya habari kimagharibi kama alama ya mambo yote mazuri. Anasema kwamba hili ndiyo simulizi lililomwezesha Sirleaf kuwa mhimili wa maendeleo ya kimataifa na uwezeshaji wa wanawake.