Habari kuhusu Uhispania
Namna Utoaji Bure wa Kifungua Kinywa Nchini Yemen Ulivyorudisha Wasichana 500 Shuleni
Kabla ya mradi kuanza, moja ya tano ya wanafunzi walikuwa wahahudhurii. Sasa, wote wamerudi darasani.
Umoja wa Ulaya Hautatoa Nafuu ya Kodi ya VAT kwa Vitabu ya Kidigitali
Mnamo Machi 5, 2015, Mahakama ya Haki ya Umoja wa Ulaya ilitoa hukumu kwamba punguzo la kodi ya ongezeko la thamani (VAT) lililotolewa kwa vitabu vinavyochapishwa halitahusisha vitabu vya kidijitali,...
Dondoo 13 za Kulinda Taarifa zako Kwenye Kompyuta Zinazotumiwa na Watu Wengi
Kama uko mbioni kwenda kwenye mapumziko na unafikiri kuchukua kompyuta yako na kuiunganisha na mtandao wa intaneti wa Siwaya (Wi-Fi) au kutumia kompyuta ambazo zinapatikana kwenye hoteli au kwenye eneo...
Changamoto za Elimu kwa Karne ya 21
Mikel Agirregabiria kwa kujifunza kutoka kwenye filamu Dead Poets Society aliweza kubainisha [es] mahitaji ya sasa ya elimu: Elimu katika karne ya 21 yahitaji kushughulikia masuala ambayo hayakuwa bayana siku...
Watu Wenye Ulemavu Kugombea Katika Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya
"Sisi ni kikundi cha watu walioathirika, moja kwa moja au kwa namna moja au nyingine na ulemavu au lugha nyingine magonjwa nadra, tumeungana kwa lengo moja — nalo ni kuboresha maisha ya wale walioathirika."
Wajibu wa Kisayansi katika Mawasiliano
Katika mfululizo mpya wa Cosmos, Víctor R. Ruíz anaonyesha jinsi ambavyo kutafuta maarifa ya kisayansi limekuwa ni jukumu la kijamii na kisayansi katika nyanja za umma: Kabla na wakati huo,...
Umoja wa Ulaya Wachapisha Utafiti wa Kina Kuhusu Ukatili Dhidi ya Wanawake
Nchi za Ulaya Kaskazini ni miongoni mwa zile zenye kiwango cha juu kabisa cha udhalilishaji wa wanawawake: Denmark (52%), Finland (47%) na Sweden (46%).
UBUNIFU: Makontena Yatumika Kama Hosteli za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Ulaya
Ili kuondoa uhaba wa hosteli kwa ajili ya wanafunzi unaovikabili vyuo vikuu barani Ulaya, baadhi ya vyuo vikuu nchini Denmaki, Ujerumani, Ufaransa (Le Havre) [fr] na Uhispania vimejaribu kubadili makontena na kuyafanya yawe...
Uhispania Si Taifa la Watu Wenye Furaha Sana
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Carlos III University mjini Madrid, wa-Hispania wameshika nafasi ya 49th ya furaha kati ya nchi 112
Wafanyakazi wa Kujitolea Raia wa Ki-Hispania Waachiliwa Huru Baada ya Miezi 21 Uhamishoni
Montserrat Serra na Blanca Thiebaut walikuwa wakijenga hospitali katika eneo la Dadaab, Kenya, ndani ya kambi kubwa zaidi duniani, wakati walipotekwa