Habari kuhusu Denmaki
Jukwaa Hili Limewasaidia Maelfu ya Wahamiaji Kukutana Tena na Familia Zao Nyumbani
Duniani kote, takribani watu miliaoni 65 ambao, kwa sababu moja au nyingine, wamelazimishwa kuyakimbia makazi yao. Jukwaa hili linalenga kukutanisha familia zilizovunjika.
Canada Imesema Nini? Upotoshaji wa Habari Kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi
Serikali ya Canada inasemekana imetoa tamko la jazba leo, ikikanusha upotoshaji wa habari zinazodaiwa kufanywa nayo kwa mujibu wa Jarida la Wall Street likidai kwamba...