Habari kuhusu Jamhuri ya Afrika ya Kati kutoka Agosti, 2018
Waandishi wa habari wa Urusi wauawa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Waandishi watatu wa ki-Rusi wameuawa leo nchini Jamhuri ya Kati, kwenye eneo la ukaguzi nje kidogo ya mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui.