Katika Jamhuri ya Afrika, ”Bado Tuna Matumaini ya Kuishi Pamoja kwa Amani”

Rebels in the Central African Republic. CC License-BY-2.0

Waasi katika Jamhuri ya Afrika. CC Leseni-NA-2.0

Kama mapigano baina ya waasi wa Sékéla na jeshi la taifa la Jamhuri ya Afrika ya Kati vinaendelea, mvutano katika mji wa Bossangoa. Wenyeji wanahofia kwamba migogoro inaweza kumwagika katika mapigano ya wazi kati ya jumuiya ya kikristo na Waislamu. Baadhi bado kushikilia tumaini kwa upatanisho angalau, kama Iman wa msikiti wa mji wa chini [fr]:

C’est notre pays, nous sommes aussi natifs. Mais nos frères chrétiens nous prennent toujours pour des étrangers. Ils nous assimilent à leur malheur et nous ne comprenons pas. Nous demandons aussi la paix..

Hii pia ni nchi yetu, sisi tulizaliwa hapa. Lakini nje ndugu wakristo bado wanatuona kama wageni. Wanafikiri sisi ndio sababu ya huzuni zao na hatujui kwa nini. Sisi pia bado tuna matumaini kwa amani ..

Mgogoro wa kibinadamu katika nchi unazidi kuwa mbaya siku hadi siku. Hippolyte Donossio anaripoti kuwa watu 150 waliuawa na maelfu ya nyumba kuteketezwa na waasi mwishoni mwa wiki.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.