Kitabu-pepe Kipya cha GV: Sauti ya Kiafrika ya Matumaini na Mabadiliko
Hapa ni zawadi sahihi kabisa ya kuukaribisha mwaka mpya: kitabu-pepe kipya tulichokiandika kwa heshima yaEneo la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. “Sauti ya Kiafrika ya Matumaini na Mabadiliko,” kinakupa mtazamano wa kipekee kuhusu watu na habari za eneo hilo la Afrika kupitia posti zetu zilizo bora zilizoandikwa kwa lugha ya Kiingereza kwa mwaka 2012. Kutoka idadi ya takribani posti 800 zilizoandikwa kwa mwaka katika eneo hilo, tulichagua posti 13 zinazoangazia nchi kama Senegali, Uganda, Msumbiji, Guinea-Bissau, Ghana, Ethiopia, Nigeria, Mauritania, Kenya, Angola pamoja na nchi nyingine.
Unakaribishwa kukipakua (download) hapa. Unaweza hata kutuma nakala yake (katika mfumo wa PDF, ePub au Mobipocket) kwa ndugu ay marafiki zako kokote walipo duniani, labda kama zawadi ya mchango wao kwa GV. Kilicho muhimu zaidi, tafadhali sambaza ujumbe kwa watu wako, kupitia mitandao ya kijamii na namna yoyote unayoona inafaa!
Sauti ya Kiafrika ya Matumaini na Mabadiliko ni ushahidi zaidi wanguvu ya kufanya kazi pamoja‘, jitihada za pamoja zinazojielekeza kwa watu na mahali ambapo mara nyingi “husahauliwa” na vyombo vikuu vya habari duniani kote, ingawa ni kweli Afrika ni kubwa lakini bado kuna matumaini ya maendeleo katika miaka ijayo. Kama ilivyosemwa katika utangulizi wa kitabu-pepe kicho, “Katika mwanzo wa mileniam mpya, ilionekana kama bara la Afrika lilikuwa limeachwa na jumuiya ya kimataifa….[lakini] takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa uchumi wa nchi nane unaokua kwa kasi zaidi duniani uko katika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara.”
Na wakati wataalamu wengi wakiamini kuwa athari chanya za muda mrefu zinazotokana na teknolojia mpya zitakuwa kwenye sekta ya elimu, ‘pia lililo muhimu ni uwezo wa kuitumia teknolojia kwa faida katika maeneo kama uwazi wa jumla na uwajibikaji, kama inavyoonyeshwa na miradi inayojishughulisha na vyombo vya habari vya kijamii na kiraia kwa ajili ya kufuatilia chaguzi za mahali mahususi au kufanya takwimu za serikali kupatikana kwenye mtandao wa intaneti.”
Ikiwa imelengwa kupanua mukhtadha na kukuza malengo ya Global Voices, this mkusanyiko huu wa posti za mwaka 2012 utajaribu kuelezea muundo huo changamani na kufungua upeo kwa ajili ya mwaka ujao. Sauti hizi zinatuambia juu ya kusogea mbele kwa matumaini na mabadiliko, fikra za waandishi zinafunua njia iliyowezeshwa na jitihada na ushirikiano.
Shukrani kwa Mohamed Adel kwa msaada wa kitaalamu na wale ambao kwa namna moja ama nyingine walichangia kwenye makala zizizochaguliwa kwa ajili ya kitabu-pepe hiki kipya: Afef Abrougui, Ahmed Jedou, Anna Gueye, Eleanor Staniforth, Endalk, James Propa, Kofi Yeboah, Lova Rakotomalala, Nwachukwu Egbunike, Richard Wanjohi, Sara Gold, Sara Moreira, na Ndesanjo Macha.
Mada za Habari

Anza mazungumzo
Mada za Habari
Kumbukumbu za Mwezi
- Disemba 2020 1 ujumbe
- Oktoba 2020 4 jumbe
- Septemba 2020 8 jumbe
- Agosti 2020 2 jumbe
- Julai 2020 1 ujumbe
- Juni 2020 1 ujumbe
- Aprili 2020 1 ujumbe
- Februari 2020 2 jumbe
- Oktoba 2019 2 jumbe
- Agosti 2019 2 jumbe
- Juni 2019 3 jumbe
- Mei 2019 10 jumbe
- Aprili 2019 14 jumbe
- Machi 2019 10 jumbe
- Februari 2019 11 jumbe
- Januari 2019 2 jumbe
- Disemba 2018 2 jumbe
- Novemba 2018 1 ujumbe
- Oktoba 2018 1 ujumbe
- Agosti 2018 3 jumbe
- Julai 2018 11 jumbe
- Juni 2018 12 jumbe
- Mei 2018 12 jumbe
- Aprili 2018 6 jumbe
- Januari 2018 2 jumbe
- Disemba 2017 3 jumbe
- Septemba 2017 1 ujumbe
- Agosti 2017 8 jumbe
- Julai 2017 8 jumbe
- Juni 2017 5 jumbe
- Mei 2017 5 jumbe
- Aprili 2017 9 jumbe
- Machi 2017 15 jumbe
- Februari 2017 8 jumbe
- Januari 2017 6 jumbe
- Disemba 2016 2 jumbe
- Novemba 2016 12 jumbe
- Oktoba 2016 16 jumbe
- Septemba 2016 7 jumbe
- Agosti 2016 5 jumbe
- Julai 2016 15 jumbe
- Juni 2016 15 jumbe
- Mei 2016 8 jumbe
- Aprili 2016 8 jumbe
- Machi 2016 10 jumbe
- Februari 2016 8 jumbe
- Januari 2016 1 ujumbe
- Disemba 2015 1 ujumbe
- Novemba 2015 10 jumbe
- Oktoba 2015 7 jumbe
- Septemba 2015 4 jumbe
- Agosti 2015 4 jumbe
- Julai 2015 2 jumbe
- Juni 2015 15 jumbe
- Mei 2015 12 jumbe
- Aprili 2015 30 jumbe
- Machi 2015 3 jumbe
- Februari 2015 25 jumbe
- Januari 2015 5 jumbe
- Novemba 2014 9 jumbe
- Oktoba 2014 21 jumbe
- Septemba 2014 32 jumbe
- Agosti 2014 2 jumbe
- Julai 2014 51 jumbe
- Juni 2014 24 jumbe
- Mei 2014 57 jumbe
- Aprili 2014 60 jumbe
- Machi 2014 67 jumbe
- Februari 2014 43 jumbe
- Januari 2014 12 jumbe
- Disemba 2013 29 jumbe
- Novemba 2013 50 jumbe
- Oktoba 2013 32 jumbe
- Septemba 2013 25 jumbe
- Agosti 2013 9 jumbe
- Julai 2013 34 jumbe
- Juni 2013 33 jumbe
- Mei 2013 28 jumbe
- Aprili 2013 18 jumbe
- Machi 2013 3 jumbe
- Februari 2013 12 jumbe
- Januari 2013 20 jumbe
- Disemba 2012 16 jumbe
- Novemba 2012 8 jumbe
- Oktoba 2012 21 jumbe
- Septemba 2012 13 jumbe
- Agosti 2012 16 jumbe
- Julai 2012 26 jumbe
- Juni 2012 21 jumbe
- Mei 2012 3 jumbe
- Aprili 2012 19 jumbe
- Machi 2012 10 jumbe
- Februari 2012 2 jumbe
- Januari 2012 10 jumbe
- Disemba 2011 16 jumbe
- Mei 2011 10 jumbe
- Aprili 2011 22 jumbe
- Februari 2011 4 jumbe
- Januari 2011 10 jumbe
- Disemba 2010 4 jumbe
- Novemba 2010 7 jumbe
- Oktoba 2010 6 jumbe
- Septemba 2010 10 jumbe
- Agosti 2010 13 jumbe
- Julai 2010 20 jumbe
- Mei 2010 2 jumbe
- Aprili 2010 16 jumbe
- Machi 2010 22 jumbe
- Februari 2010 22 jumbe
- Januari 2010 41 jumbe
- Disemba 2009 47 jumbe
- Novemba 2009 56 jumbe
- Oktoba 2009 29 jumbe
- Septemba 2009 3 jumbe
- Agosti 2009 6 jumbe
- Julai 2009 10 jumbe
- Juni 2009 11 jumbe
- Mei 2009 5 jumbe
- Aprili 2009 7 jumbe
- Machi 2009 3 jumbe
- Februari 2009 18 jumbe
- Januari 2009 12 jumbe
- Novemba 2008 3 jumbe
- Oktoba 2008 9 jumbe
- Septemba 2008 12 jumbe
- Agosti 2008 9 jumbe