Disemba, 2020

Habari kutoka Disemba, 2020

Taarifa Za Ndani Zinasema; Angalau Wanafunzi 15 ‘Walitiwa Mimba na Wakufunzi’ Katika Shule Ya Upolisi Msumbiji

Nyaraka hizo zilisema kuwa ujauzito huo ulitokana na mahusiano ya kingono baina ya wakufunzi bila kueleza kama mahusiano hayo yalikuwa ya hiari au lah.