Habari kutoka Januari, 2017
Kutana na Vijana wa Ecuado Wanaoendesha Kipindi cha Kwanza cha Lugha ya ki-Chwa Radioni Nchini Marekani
“Kipindi hiki kinahusu kujieleza na bila kuogopa kufanya hivyo.”
Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii wa Trinidad & Tobago Wamjibu Mshauri wa Trump kwa Kuja na ‘Ukweli Mbadala’
"Ringling Brothers yafungwa kwa kuotea mashindano ya serikali ya Marekani. #KweliMbadala"
China Kufungia Kutolewa kwa Huduma ya Mitandao Binafsi ya Intaneti
Serikali ya China imefungia baadhi ya huduma za VPN China tangu 2015, lakini sera mpya inafanya kutumia VPN na huduma za intaneti zisizosajiliwa kuwa kosa
Jeshi la Nchini Thailand Lawaruhusu Watoto Kucheza na Bunduki halisi, Vifaru na Helikopta za Kijeshi
"Tunawawezesha watoto walifahamu vyema jeshi pamoja na zana zinazotumiwa. Kwa uzoefu wanaoupata, wanajifunza kulipenda jeshi na hata kuwa wanajeshi hapo baadae."
Siku ya Maombolezo Mjini Kyrgyzstan Kufuatia Ajali ya Ndege ya Mizigo, Iliyoua Watu Zaidi ya 30
Waliopoteza maisha wengi wao ni wenyeji wa Kyrgyz kutoka kwenye kijiji cha jirani, na habari zaidi zinaendelea kupatikana.
Podikasti ya Chile Yafanya Nyota za Anga Zionekane na Kila Mtu
"Shauku yangu kuu ni kwetu sote kumgundua mtoto aishiye ndani yetu na kushangaa namna ulimwengu tunaoishi ulivyo wa ajabu."