Habari Kuu kutoka Aprili 2015
Habari kutoka Aprili, 2015
‘Kulea Mtoto Ukiwa Mtoto': Idadi Kubwa ya Mimba za Utotoni Nchini Venezuela
Desireé Lozano, anayeblogu kwenye blogu ya Voces Visibles, anatoa mwito kwa ongezeko kubwa la mimba za utotoni nchini Venezuela, ambapo asilimia 25 ya mimba ni za vijana, na kukosekana kwa sera sahihi za kudhibiti tatizo hili na matokeo yake. Takwimu za Venezuela zinaonesha kwamba nchi hiyo ina idadi kubwa ya...
Timu ya Uokoaji ya Mexico Yaomba Michango Iende Kusaidia Nepal
Urgen donativos para 25 rescatistas paypal:donativos@brigada-rescate-topos.org CLABE Santander:01418092000709294 tel.5554160417 #ToposANepal — Topos México (@topos) April 27, 2015 Michango inahitajika mara moja kwa waokoaji 25 kwa njia ya paypal: donativos@brigada-rescate-topos.org CLABE Santander:01418092000709294 simu.5554160417 #ToposANepal (Topos to Nepal) Kikosi cha Uokoaji Topos México Tlatelolco kimeanza kampeni ya kuomba michango ili kuweza kuungana na jitihada...
Swali: Wapiganaji Wangapi wa Jihadi Wana Historia ya Jeshi?
Kwa kutumia dondoo kutoka kwenye ripoti ya Der Spiegel kuhusu watu walionyuma ya muundo wa ISIS, mwanablogu wa Palestina Iyad El-Baghdadi anatwiti: After that Spiegel story about the "mastermind" behind ISIS's takeover of Syria – noticed just how many Jihadists have military backgrounds? — Iyad El-Baghdadi (@iyad_elbaghdadi) April 21, 2015...
Maisha ya Wakenya Yana Thamani, Wanafunzi wa Kiafrika Wasema Kwenye Ibada ya Kuwaombea Wahanga wa Garissa Jijini Beijing
Kikundi cha wanafunzi wa Kiafrika jijini Beijing waliandaa ibada ya kuwakumbuka wahanga 147 wa shambulio la Garissa pamoja na china kutokuwa na uvumilivu kwa watu wanaoomboleza hadharani
Je, Blogu Zinaelekea Kutoweka?
Makala haya ni sehemu ya 46 ya #LunesDeBlogsGV (#JumatatuYaBloguGlobalVoices) siku ya Machi 23, 2015. Kwenye #LunesDeBlogsGV (#JumatatuyaBloguGlobalVoices), tunajitahidi kuzitunza blogu mithili ya “viumbe wanaoelekea kutoweka”, kwa kushughulikia changamto zinazokabili uwepo wa blogu kwenye ulimwengu wa kidijitali. Jitihada kama hizi zinamfanya mwanablogu Iván Lasso kuchambua mustakabali wa kublogu na matatizo yanayowakabili wanablogu leo,...
Filamu ya Malawi Yawasaidia Wakulima Kujikinga na Mabadiliko ya Tabia Nchi
Filamu ya “Mbeu Yosintha” ilitengenezwa kuwasaidia wakulima na wanavijiji kujikinga na madhara ya mabadiliko ya tabia nchi, hususani kubadilika kwa majira ya mvua kwenye ukanda wa Afrika Kusini Mashariki. Filamu hiyo ni tamthlia inayowatumia wasanii wa ndani ya nchi hiyo na iliandaliwa na mwandishi wa Kimalawi Jonathan Mbuna baada ya...
Magazeti Maarufu Iran Yataka Kusitishwa kwa Mashambulio ya Anga Nchini Yemen
Magazeti mawili yenye umaarufu mkubwa leo katika kurasa za mbele yalihanikizwa kwa habari za kushindwa kwa Saudi Arabia. Habari zili zimetokana na tangazo la Saudi Arabia la kusitisha mashambulizi ya anga dhidi ya Yemen mapema Jumanne hii. Kayhan, gazeti lililo na uhusiano na kiongozi mkuu wa Kidini, Ayatollah Khamenei, katika ukurasa wake...
Ellery Biddle awa Mkurugenzi Mpya wa Kitengo cha Utetezi, Global Voices
Kumtangaza Mkurugenzi mpya wa Utetezi wa Global Voices!
Kulinda Taarifa Binafsi Nchini Ajentina Bado Kuna Safari Ndefu
Kwenye makala iliyoandikwa kwa ajili ya gazeti la mtandaoni Haki za Kidijitali: Amerika Kusini & Visiwa vya Caribbean, No.21, Mmwanasheria wa ki-Ajentina Valeria Milanés anaeleza kwamba hata kama Marekani ni kiranja wa dunia kwenye kuchakata taarifa (data), bado haina sheria ya kulinda taarifa za watu. Marekani pia inachukuliwa kama nchi yenye “kiwango...
Nini Tofauti ya Kusoma na Kuelimika?
Pedro Muller anatafakari kuhusu matatizo yanayoukabili mfumo wa shule, taasisi anayosema ilimaanisha mazingira tofauti ya kihistoria. Kwa kusema hayo, anabainisha umuhimu wa dhana hizi mbili zinazofanana lakini zikimaanisha nyakati mbili tofauti: “Kusoma” na “kuelimika”: El educar se va más allá de memorizarse un par de nombres y olvidarlos al siguiente...