Habari Kuu kutoka Februari 2015
Habari kutoka Februari, 2015
28 Februari 2015
Watoto Waliokosa Masomo kwa Miezi kadhaa, Wafundishwa kwa Njia ya Skype Nchini Libya
Haifa El-Zahawi, raia wa Libya aishiye New York, kwa mara ya kwanza amewapatia fursa ya kusoma watoto wa nchi atokayo ya Libya kufuatia watoto hao...
Asasi ya Kiraia Inayofuatilia Bunge Yawaunganisha Wabunge Wanawake na Wananchi wa Uganda
Asasi ya Kiraia ya Parliament Watch Uganda iliandaa mjadala wa kujadiliana na wabunge wanawake kwenye mtandao wa Twita kuhusu mada 'Kuwafanya Wanawake Wathaminiwe Kwenye Shughuli...
27 Februari 2015
Mradi wa Video Waelezea Mapambano ya Kimaisha ya Watu wa Papua ya Magharibi

"Hizi ni habari tofauti na zile za mgogoro uliopo: Harakati za kupata elimu, mazingira, usawa na utu."
26 Februari 2015
24 Februari 2015
Wanafunzi Nchini Tanzania Kufundishwa kwa Lugha ya Kiswahili, si Kiingereza
Rais Jakaya Kikwete amezindua sera mpya ya elimu nchini Tanzania juma lililopita, ambayo pamoja na mabadiliko mengine, inaingiza rasmi Kiswahili kama lugha ya kufundishia na...
23 Februari 2015
Mwanamke Atumia Mtandao wa Instagram Kubadili Mtazamo Kuhusu Somalia
Ugaaso Boocow anataka kubadili mtazamo wa watu kuhusu nchi ya Somalia. Lakini badala ya kuingia mitaani au kutumia radio, ameamua kuingia kwenye mtandao wa Instagram...
22 Februari 2015
Chemsha Bongo: Je, Uko Kwenye Hatari ya Kugeuka Gaidi?
Chemsha bongo hii imeandaliwa kwa kutumia utafiti unaofanywa na serikali ya Marekani unaotumiwa kuwabaini watu wenye hatari ya kuwa magaidi au jamii zilizokwenye hatari ya...