Habari kutoka Februari, 2013
Bulgaria: Gharama Kubwa za Nishati Zasababisha Maandamano
Ruslan Trad anataarifu kuwa, siku ya Jumapili tarehe 17 Februari, makumi ya maelfu ya watu katika mji mkuu wa Bulgaria, Sofia pamoja na majiji mengine...
Bulgaria: Pamoja na Serikali Kujiuzulu Maandamano Yapamba Moto
Maandamano nchini Bulgaria yanaendelea: Ruslan Trad anataarifu kutoka mji mkuu wa Bulgaria kuwa, siku ya Jumapili, huko Sofia na katika majiji mengine, makumi ya maelfu...
Wakati Papa Anajiuzulu, Warusi Wajiuzulu kwa Putin
Pasipokutaka kujua matokeo ya kujiuzulu kwa Papa Benedict na athari yake kwa imani ya Kikatoliki au tafsiri ya hatua hiyo kufuatia kashfa ya udhalilishaji iliyowakabili...
Costa Rica Yakumbwa na Tetemeko la Ardhi wa Ukubwa wa 7.6
Wananchi wa Costa Rica wamekuwa wakitwiti kuhusiana na tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo tarehe 5 Septemba saa 2:42 asubuhi, kwa kutumia alama habari #temblorcr...
Hali ya Hatari kwa Watoto nchini Syria: Namna Utakavyo Saidia.
Hadi sasa,inakadiriwa watoto 4,355 wameshauawa katika mgogoro unaoendelea hivi sasa nchini Syria. Mapema wiki hii, tulitoa taarifa juu ya madhila wanayokabiliana nayo watoto wa Syria...
PICHA: Maandamano ya Pamoja ya Watu wa Shia Nchini kote Pakistan Yamalizika Kwa Amani.
Baada ya milipuko ya mabomu huko Quetta kuua zaidi ya watu 100, maanadamano ya watu wa jamii ya Hazara ya Shia yalisambaa kama moto katika...