Habari kutoka Machi, 2017
Katika Kutafuta Haki, Mtumishi Huyu wa Kanisa Katoliki Ameandika Nyaraka Kuhusu Mauaji na Dawa za Kulevya Nchini Ufilipino
"Kama mwandishi mpiga picha, lazima uwe karibu na masikini, uelewe uhalisia wa maisha yao."
Mauaji ya Mwandishi Nchini Mexico Yafufua Hasira Dhidi ya Ukatili kwa Waandishi wa Habari
"They killed Miroslava for talking, for making information that society demands public, and for annoying the powerful, in any of its forms."
Unamjua Muuaji Mkuu Nchini Georgia? Ni Barabara Zake
Mnamo Machi 22 huko Tbilisi, mama mmoja pamoja na mtoto wake wa kike waliokuwa wamesimama kando ya barabara waligongwa na gari. Msichana huyo wa miaka...
Wapenzi wa Nyumba, Hivi Ndivyo Nyumba za Umma Zinavyoonekana Japani
Blogu nzuri mahususi kwa kumbukumbu za miradi ya zamani ya nyumba zilizokuwa makazi ya vizazi kadhaa vya wa-Japani tangu kumalizika kwa vita vya dunia
Hali ya Uchafuzi wa Mazingira Kathmandu Imefanya Miungu Kuvikwa Barakoa
Kiwango cha Uchafuzi jijini Kathmandu kimezidi kiwango cha chini kinachokubaliwa huku wakazi wa jiji hili wakikabiliana na hali kwa kujizuia kwa mabarakoa, kama ilivyo kwa...
Miradi Ifuatayo Inalenga Kuifanya Simu yako Ikusemeshe kwa Kiswahili
Kiswahili ni lugha ya pili kuzungumzwa zaidi barani Afrika. Hata hivyo, mfumo wa utambuzi wa sauti bado haupatikani katika lugha hiyo, na kuwanyima watumiaji wengi...
Maisha Ndani ya Kituo cha Kulelea Watu Wenye Ukoma Nchini Myanmar
Pyay Kyaw anawatembelea wagonjwa kwenye kituo cha kulelea watu wenye ukoma cha Mt. Yosefu Cotto Legnos, kinachowatunza watu wengi, mmoja wao Maya, ambaye aliwahi kulazimishwa...
Wewe ni Mwanasiasa Mbovu Mexico? Unaweza Kurushiwa Nyanya Usoni
Mwanahaakati na mtumishi wa umma wa zamani nchini Mexico anaongoza kampeni isiyozoeleka ya kuwa kuchafua nyuso za wanasiasa kama namna ya kuonesha kutokuridhika na mienendo...
Donald Trump Alikuwa Sahihi: Wa-Irani Wana Tabia ya Kucheza na Moto
Sherehe za kale nchini Iran za kucheza na moto, zinazoitwa Chaharshanbe Suri, zimethibitisha kuwa Donald Trump alikuwa sahihi -ingawa bila kujua - pale alipoituhumu Iran...
Sura 12 za Mwanamke wa ki-Ganda
Kuanzia kwa shujaa wa mchezo wa chesi aliyezaliwa 'uswahilini' mpaka spika wa bunge. Wote wanaenziwa.