Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

Machi, 2017

Habari kutoka Machi, 2017

17 Machi 2017

Wewe ni Mwanasiasa Mbovu Mexico? Unaweza Kurushiwa Nyanya Usoni

Mwanahaakati na mtumishi wa umma wa zamani nchini Mexico anaongoza kampeni isiyozoeleka ya kuwa kuchafua nyuso za wanasiasa kama namna ya kuonesha kutokuridhika na mienendo...

16 Machi 2017

Donald Trump Alikuwa Sahihi: Wa-Irani Wana Tabia ya Kucheza na Moto

Sherehe za kale nchini Iran za kucheza na moto, zinazoitwa Chaharshanbe Suri, zimethibitisha kuwa Donald Trump alikuwa sahihi -ingawa bila kujua - pale alipoituhumu Iran...

Sura 12 za Mwanamke wa ki-Ganda

Kuanzia kwa shujaa wa mchezo wa chesi aliyezaliwa 'uswahilini' mpaka spika wa bunge. Wote wanaenziwa.

8 Machi 2017

Kutoka Naijeria “Muinjilisti wa Utamaduni” Anaeneza Lugha za Ki-Afrika Kwa Kutumia Zana Tumizi Za Simu na Usimuliaji wa Hadithi Kidigitali

"Technology offers the best form of creative approach to preserving native languages. It aids the process of documentation, collaboration between language experts, offers a wide...

7 Machi 2017

Msichana wa Afrika Kusini Anayeishi na VVU Aamua Kutokuficha Hali Yake

Watumiaji wa mtandao wa Twita duniani kote wanamsifia Saidy Brown, msichana wa miaka 22 wa Afrika Kusini, aliyetumia mtandao wa Twita mwezi uliopita kutangaza kuwa...