Habari kutoka Mei, 2015
Baada ya Miaka 33, Cuba Haipo Kwenye Orodha ya Marekani ya Nchi Zinazofadhili Ugaidi
Orodha hiyo, kwa mujibu wa Marekani, ni ya nchi ambazo zina kawaida ya kuwezesha vitendo vya ngazi ya kimataifa vilivyopangwa, na vyenye lengo la kupambana...
Vito na Sarafu za Kale za Syria Zapigwa Mnada Kwenye Mtandao wa Facebook
Sarafu za kale zilizoibwa na ISIS kutoka kwenye maeneo yanayodhibitiwa na ISIS, sasa yanapigwa mnada kwenye mtandao na Facebook kwa mamilioni.
Ngono, Dini na Siasa Vinapokutana Kwenye Onesho la ‘Sidiria ya Kimalaya’
Mmarekani mwenye asili ya Pakistani Aizzah Fatima amelipa umaarufu onesho lake kwenye maeneo mbalimbali katika miaka ya hivi karibuni. Jina la onesho lenyewe linaonekana kama...
TAMKO: Global Voices Yatoa Wito wa Kuimarishwa kwa Usalama wa Wanablogu wa Bangladesh
Tunalaani mauaji ya hivi karibuni ya wanablogu na kuzitaka mamlaka husika kuhakikisha kuwa wale wote waliohusika kwenye mauaji haya wanafikishwa kwenye vyombo vya sheria.