Habari kuhusu Censorship kutoka Aprili, 2019
Wanablogu wa Mauritania Wakabiliwa Mashtaka ya Kukashifu kwa Kutoa Taarifa ya Rushwa
Waendesha mashtaka wa serikali wawashtai wanablogu wawili kwa kusambaza taarifa zinasemekana kuwa za uongo juu tuhuma za rushwa dhidi ya Rais wa Mauritania.
Nchini Burundi Kuchorachora Picha ya Rais —ni Kosa la Kukupeleka Jela
"Kama ningefanya katika Burundi ya Nkurunziza, ningeweza kufungwa jela."