Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Julai, 2013
Peru: Mchezaji wa Kandanda Afariki Dunia Uwanjani
Dakika tano kabla ya kumalizika kwa mchezo kati ya timu zaReal Garcilaso na Sporting Cristal, mchezaji nyota wa timu ya Sporting Cristal mwenye miaka 18 Yair José Clavijo alipata mshituko...
Kitu gani kinaifanya Brazil ifanane na Uturuki?
Nchi za Brazil na Uturuki zimetengwa na umbali wa maelfu ya kilomita, lakini zina kitu fulani cha kufanana: nchi zote mbili ziliingia mitaani kudai haki zao kama raia na sasa...