· Aprili, 2015

Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Aprili, 2015

Timu ya Uokoaji ya Mexico Yaomba Michango Iende Kusaidia Nepal

  28 Aprili 2015

Urgen donativos para 25 rescatistas paypal:donativos@brigada-rescate-topos.org CLABE Santander:01418092000709294 tel.5554160417 #ToposANepal — Topos México (@topos) April 27, 2015 Michango inahitajika mara moja kwa waokoaji 25 kwa njia ya paypal: donativos@brigada-rescate-topos.org CLABE Santander:01418092000709294...

Je, Blogu Zinaelekea Kutoweka?

Makala haya ni sehemu ya 46 ya #LunesDeBlogsGV (#JumatatuYaBloguGlobalVoices) siku ya Machi 23, 2015. Kwenye #LunesDeBlogsGV (#JumatatuyaBloguGlobalVoices), tunajitahidi kuzitunza blogu mithili ya “viumbe wanaoelekea kutoweka”, kwa kushughulikia changamto zinazokabili uwepo wa blogu...

Nini Tofauti ya Kusoma na Kuelimika?

  22 Aprili 2015

Pedro Muller anatafakari kuhusu matatizo yanayoukabili mfumo wa shule, taasisi anayosema ilimaanisha mazingira tofauti ya kihistoria. Kwa kusema hayo, anabainisha umuhimu wa dhana hizi mbili zinazofanana lakini zikimaanisha nyakati mbili...

Mwizi Akamatwa, Aomba Msamaha na Kusamehewa

  19 Aprili 2015

Labda alidhani ingekuwa vyepesi kuiba shampoo mali ya mmiliki wa duka nchini Peru, lakini mambo yalimwendea mrama mwizi huyu. Mtu mmoja akiwa ameongozana na mwenzake waliingia kwenye duka lililoko kwenye...