Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Agosti, 2009
Mexico: Simulizi za Siri Kwenye Twita
Rafa Saavedra ni mtaalamu wa utamaduni wa chini chini kutoka mji wa Tijuana, Maxico. Katika mahojiano, anaelezea kila kitu kinachohusu mradi wake mmoja wa hivi karibuni unaojumuisha Twita na utoboaji wa siri.