Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Januari, 2017
Kutana na Vijana wa Ecuado Wanaoendesha Kipindi cha Kwanza cha Lugha ya ki-Chwa Radioni Nchini Marekani
“Kipindi hiki kinahusu kujieleza na bila kuogopa kufanya hivyo.”
Podikasti ya Chile Yafanya Nyota za Anga Zionekane na Kila Mtu
"Shauku yangu kuu ni kwetu sote kumgundua mtoto aishiye ndani yetu na kushangaa namna ulimwengu tunaoishi ulivyo wa ajabu."