Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Disemba, 2013
Cuba: Madiba Alifanya Mengi Mazuri Pamoja na Mapungufu Aliyokuwa Nayo.
Blogu ya Cuba Without Evasion yatanabaisha kuwa, namna pekee ya kumuenzi Nelson Mandela ni kwa “kuiga mfano wake wa kusamehe na Usuluhishi”: Ninakusamee…kwa urafiki uliokuwepo kati yako na…dikteta aliyekuwa muovu...
Uruguay yawa Nchi ya kwanza Kuhalalisha Soko la Bangi
Baraza la Seneti la Urugwai lilipiga kura 16 kwa 13 kuhalalisha uzalishaji na uuzaji wa bangi.. Rais Mujica anatarajiwa kutia saini sheria, ambayo itakuwa na ufanisi kuanzia mwaka ujao. Estoy...
Brazil: Je Unamuenzi Mandela? Basi Saidia Haki za Binadamu
Bango la kuonyesha heshima kwa Nelson Mandela limechukua umaarufu usiojulikana wa kiongozi wa Afrika Kusini nchini Brazil kwa kuwaita wale ambao wanaenzi urithi wake kusaidia haki za binadamu. Ujumbe huo...
Caribbean: Kwaheri, Nelson Mandela
Tangazo la kifo cha Nelson Mandela limepokelewa kwa mshtuko. Wanablogu wa maeneo mbalimbali wanashirikishana mawazo yao kuhusu kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa upinzani kwa njia za amani duniani aliyetutoka.
Mkutano: Kutengeneza Dunia Halisi ya Sauti za Dunia kwa Hadhira Halisi

Katika toleo hili la GV Face tunakutana na jopo la magwiji wa wawezeshaji wa mikutano ya Global Voices kutoka Misri, Pakistan, na Ureno.
Ufisadi: Tishio kubwa kwa uhuru wa kujieleza Barani Amerika ya Kusini
Katika miaka 20 iliyopita, waandishi wa habari 670 wameuawa katika Amerika ya Kusini na Caribbean,kwa mujibu wa wajumbe kutoka muungano wa IFEX-ACL, ambayo hivi karibuni iliwasilisha Ripoti ya Mwaka juu...