Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Julai, 2015
Kwenye Jiji Lenye Machafuko Zaidi Duniani, Wasanii wa Uchoraji Kuta Watumia ‘Silaha zao’ Vizuri
San Pedro Sula, Honduras, limechorwa kuwa ni jiji ambalo limekuwa na machafuko kuliko jiji lingine lolote duniani kwa muda wa miaka minne mfululizo. Wasanii wa uchoraji kuta wanamategemeo ya kubadili hali hii kwa michoro ya picha za rangi za kupuliza pamoja na ubunifu wao.