Habari kuhusu Ecuado

Sababu za Kusafiri Mara Moja Moja

  29 Julai 2014

Kwenye blogu yake iitwayo Historias de una mujer lobo (Hadithi ya mbwamwitu wa kike), Natalia Cartolini anatafakari kuhusu sababu za kwa nini kusafiri kunaweza kuwa na faida kama, kwa maoni yake, “kutembelea maeneo mapya au kukutana na watu wapya wenye mtazamo mwingine ni muhimu wakati wote. Haijalishi kama unatoka kutembea...

Ecuador: “Harakati ya Kiasili Itaendelea”

  20 Novemba 2013

“Serikali inaweza kuendelea na jitihada zake za kutufanya sisi kutosikika, lakini mapambano yetu hayawezi kushindwa. Bora kuna ukosefu wa haki, na kuwepo kwa tofauti kubwa kati ya mijini na vijijini kubaki, harakati ya kiasili itaendelea.” Manuela Picq alizungumza na Carlos Pérez Guartambel, kiongozi wa sasa wa Ecuarunari [es] (Shirikisho la...

Ujauzito na Magereza: Afya na Haki za Wanawake Magerezani

  5 Novemba 2009

Mapambano bado yanaendelea kuhakikisha haki za binadamu kwa wanawake wajawazito duniani pote, ni inaelekea kwamba katika mchakato huo, wanawake waliopo magerezani wanasahauliwa. Je ni hatua zipi zilizochukuliwa kuhakikisha kuwa nao wanaangaliwa kwa utu, kwa kuzingatia uhai wanaoubeba.