Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Machi, 2016
Yaliyojiri Wiki Hili Global Voices: Tembo Chumbani
Kwenye tukio hili tunakupeleka Somalia, Japan, China, Pakistan na Cuba.
Wa-Cuba Watafakari Ziara ya Obama Jijini Havana
Wakati mjadala wa masuala ya haki za binadamu, biashara, na michezo ukiendelea, wa-Cuba kisiwani humo (angalu wale wenye mtandao wa intaneti) wanawakosoa vikali viongozi hao
Umesikia? Podikasti ya Global Voices Imerejea
Baada ya likizo ya miaka mitatu, Podikasti ya Global Voices imerejea. Katika toleo hili, tunakupeleka Mexico, China, Tajikistan, Macedonia and Russia.
Mwanaharakati wa Haki za Binadamu na Kiongozi wa Jamii za Wazawa Berta Cáceres Auawa nchini Honduras
Baada ya miaka kadhaa ya uanaharakati wa masuala ya mazingira na kuzitetea jamii za wazawa, mtetezi nguli wa haki za binadamu Berta Caceres ameuawa nchini Honduras hii leo.