Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Februari, 2014
Majadiliano ya GV: Maandamano ya Venezuela
Maandamano ya Venezuela yanahusu nini? Vyombo vya habari za kiraia vina wajibu upi? Tunazungumza na mwandishi wa Global Voices Marianne Díaz kuhusu hali ya mambo...
PICHA: Wavenezuela Waishio Ng'ambo Waungana na Waandamanaji
Wavenezuela wnaoishi nje ya nchi hiyo wameandaa maandamano kuunga mkono maandamano yanayoendelea nchini mwao. Picha zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwa alama za #iamyourvoicevenezuela #SOSVenezuela...
Mrembo wa Venezuela Auawa kwa Risasi Wakati Akiandamana
Genesis Carmona ameuawa kwa risasi iliyomjeruhi kichwani. Amekuwa mwathirika wa maandamano yanayoendelea nchini Venezuela.