Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Februari, 2014
PICHA: Maandamano Yanaendelea Kote Nchini Venezuela
Maandamano yanaendelea katika majiji kadhaa kote nchini Venezuela. Mitandao ya kijamii, hususani twita, imekuwa ikifurika na picha zinazoonyesha yanayoendelea katika kila mkoa.
Mwandishi wa Habari Mwingine afariki Nchini Mexico: Gregorio Jiménez de la Cruz
Kaburi la siri lilikuwa ni mwisho wa maisha ya mwandishi wa habari wa nchini Mexico, Gregorio Jiménez de la Cruz.. Waliomuua, hadi sasa bado hawajafikishwa mahakamani.
PICHA: Raia wa Costa Rica Waishio Nje ya Nchi Wapata Fursa ya Kupiga Kura
Huu ni uchaguzi wa kwanza wa Urais ambapo imewezekana watu walio nje ya nchi kuweza kupiga kura. Kutoka maeneo mbalimbali ya Dunia, raia wa Costa Rica wamekuwa wakitumia mtandao wa Twita kutaarifu kuhusiana na kupiga kwao kura.