Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Mei, 2015
Baada ya Miaka 33, Cuba Haipo Kwenye Orodha ya Marekani ya Nchi Zinazofadhili Ugaidi
Orodha hiyo, kwa mujibu wa Marekani, ni ya nchi ambazo zina kawaida ya kuwezesha vitendo vya ngazi ya kimataifa vilivyopangwa, na vyenye lengo la kupambana kisiasa na raia wasio na silaha.
Mjamzito wa Miaka 11 Agoma Kutoa Mimba Nchini Uruguay
Niña de 11 años embarazada que no quiere abortar genera polémica➝http://t.co/uPBo6NEKcC #Aborto #Embarazo #Uruguay — Periódico La Tribuna (@PLaTribunaFunza) May 8, 2015 Kugoma kwa mjamzito wa miaka 11 kutoa mimba...
Je, Utoaji wa Mimba Unaweza Kujadiliwa Kwenye Treni za Medellín?
Wakazi wa jiji la Medellín, Colombia, wanajiuliza kama treni inaweza kuwa eneo la kuzungumzia masuala ya utoaji mimba, kutokana na tangazo la kampeni ya #ladecisiónestuya (uamuzi ni wako) inayoendeshwa kwa mifumo...