Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Aprili, 2014
Kurekebisha Historia: Sauti ya Wahanga Waliolazimishwa Kuwa ‘Wagumba’ Nchini Peru
Likiwa na lengo la kukusanya saini 3,000, shirika la MujeresMundi limeanzisha madai ya mtandaoni kwenye jukwaa la Change.org likiitaka serikali ya Peru kujenga upya kumbukumbu ya kihistoria kwa sauti ya...
Mazungumzo ya GV: Moja kwa Moja kutoka Kombe la Dunia la Mtandaoni
Je, tuna mpango wa utawala wa mtandao wa intaneti duniani? Mazungumzo ya wiki hii yanakujia kutoka kwenye mkutano wa Net Mundial jijini São Paulo, Brazil.
Mashirika ya Kimataifa, Wanaharakati na Waandishi dhidi ya #LeyTelecom
Mashirika kadhaa ya kimataifa ya haki za digitali zilitumia kongamano la Mexico barua kuonyesha msaada wa kimataifa [es] kwa ajili ya kutetea uhuru wa kujieleza na uhuru kwenye mtandao nchini...
Tetemeko la Ardhi la Ukubwa wa 6.2 Latokea Nchini Nicaragua
Tetemeko la ardhi lenye nguvu ukubwa wa 6.1 lilitokea Nicaragua mnamo Alhamisi Aprili 10, 2014. Kulikuwa na taarifa [es] za watu kujeruhiwa na kuanguka kwa nyumba shauri ya mtikisiko mkubwa....
PICHA: Maandamano mjini Caracas, Aprili 1
Tovuti ya PRODAVINCI inachapisha picha nne za Andrés Kerese zilizopigwa wakati wa maandamano yaliyotokea Chacao, moja ya mitaa ya wilaya ya Caracas, Jumanne, Aprili 1, 2014.
Jijini Havana Unapata Kitabu Bure, Bila Malipo
"Kitabu hiki kinamilikiw ana yeyote atakayekipata na kukitoa tena baada ya kukisoma ili watu wengine wakifurahie."
Mazungumzo ya GV: “Mtandao wa Twita” wa Siri wa Kimarekani Nchini Cuba
Mpango wa siri wa Marekani wa kubadili utawala nchini Cuba wenye huduma ya ujumbe inayofanana na Twita iitwayo ZunZuneo sasa unaangaliwa kwa mashaka baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa maelfu...
Tetemeko Kubwa Lizitikisa Chile na Peru
Watumiaji wa mtandao wa twita wameripoti kuwa huduma za simu za mkononi hazipatikani na umeme umekatika kwenye maeneo kadhaa ya Peru.
VIDEO: Wimbo wa ‘Furaha’ wa Pharrell Williams na Taswira Halisi ya El Salvador
Wananchi wa Salvador wametengeneza toleo lao la wimbo “Happy” [furaha] ulioimbwa na Pharrell Williams. Mwanablogu Mildred Largaespada anaisifu video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook [es]: ni nzuri. Na ndiyo,...
Tetemeko Kubwa Laitikisa Chile Kaskazini, Lafuatiwa na Tahadhari ya Tsunami
Tetemeko kubwa lenye vipimo vya 8.2 limeikumba Chile kaskazini saa 2:46 na kusababisha tahadhari ya tsunami nchini kote.