Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Mei, 2014
Wanafunzi Waandamana Nchini Chile Kudai Mageuzi ya Kielimu
Katika maeneo kadhaa nchini Chile, maandamano ya wanafunzi kudai elimu ya bure na kushirikishwa kwenye mabadiliko yanayoendelea nchini humo yalifanywa Mei 8, 2014. Hata hivyo, yalikabiliwa na bughudha za hapa na pale.
Simulizi za Jinsia na Wajibu
Kwenye blogu ya EnGenerada kuna tafakari ya kina [es] juu ya ujenzi wa utambulisho wa jinsia na masimulizi yanazyohusishwa na wanawake na wanaume. Wanahitimisha kwamba, licha ya kuwa ndugu katika...
Gharama na Faida ya Kombe la Dunia Nchini Brazil
Blogu ya Daniel Bustos kutoka Colombia kuhusu uchumi wa Kombe la Dunia nchini Brazil na baada ya kugusia suala lisilo epukika la rushwa, inasema: Hatimaye, Brazil itatumika kama “panya” kwa...
Colombia: Watoto 32 Wafariki Kwenye Mkasa wa Moto
Vyombo ya habari Colombia vinaripori [es] vifo vya watoto 32 uliosababishwa na moto katika basi, katika kitongoji cha Fundación mjini Magdalena, Kaskazini mwa Colombia. Tukio hilo la kutisha lilitokea Jumapili...
Jumuiya ya Kimataifa na Mgogoro wa Ukraine
guest blogs [es] ya Angie Ramos [es] katika Tintero kuhusu mgogoro wa kisiasa nchini Ukraine na baada ya kuchambua mambo mbalimbali muhimu husika anahitimisha kwa majibu ya Jumuiya ya Kimataifa:...
Wanawake na Matumizi ya Mamlaka ya kisiasa
EnGenerada anauliza [es] wasomaji wake kama wana kile wanahitaji kutumia nguvu ya kisiasa. Kila siku, tunasoma, kusikia, na kusema maneno: “Siasa ni chombo cha mageuzi ya jamii”. Mawazo yetu yanapokomaa,...
Maktaba na Utamaduni Huru
Blogu kutoka Parque Biblioteca Tomás Carrasquilla – La Quintana, huko Medellin, Colombia, inaelezea [es] msaada wake kwa utamaduni huru. Baada ya kueleze namna ya kuleta utamaduni wa uhuru [es], blogu...
Colombia: Hatua za Kudhibiti Mashambulizi ya Kemikali
Ili kuepusha mashambulizi ya kemikali yanayowalenga hasa wanawake katika maeneo mbalimbali ya nchi, serikali ya Colombia itaanza kudhibiti [es] mauzo ya rejareja ya kemikali ya ‘chokaa’ na vitu vya kemikali...
Madai ya Ukiukaji wa Haki za Binadamu Wakati wa Mgomo wa Kilimo Nchini Colombia
Tovuti ya ‘kongamano la watu’ imeshutumu hadharani [es] uvunjifu wa haki za binadamu unayoendelea katika mgomo wa kilimo [es] nchini Colombia. Wanaripoti madai ya ukiukaji wa haki za binadamu katika...
Venezuela: Utata na Mashambulizi Wajadiliwa kwenye Mtandao wa Twita
Wakitumia alama ashiria #UcabCaracas na #SOSColectivosDelTerrorAtacanUCAB [SOS vikundi vya kigaidi vya mashambulizi UCAB], maoni na picha ya mashambulizi kwa wanafunzi kwenye maandamano ambayo inaonekana yalitokea katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki...