· Mei, 2014

Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Mei, 2014

Sio Rahisi Ukiwa Mtu Mweusi Nchini Cuba

  7 Mei 2014

Habari mbaya kwa Wa-cuba wenye ngozi nyeusi au yenye mchanganyiko wa weusi na weupe ni kwamba hakuna taasisi huru za kisheria itawalinda kutelekezwa na serikali. Iván anaripoti kuwa watu wasio wazungu bado wanaendelea kubaguliwa nchini Cuba.

Colombia: Kuanguka kwa Mgodi Kwasababisha Vifo na Uharibifu

  7 Mei 2014

Watu wasiopungua watatu walikufa na kati ya watu 25 na 30 wamenaswa baada ya kuanguka kwa mgodi ulikuwa unaendeshwa kinyume cha sheria katika idara ya Cauca, kusini magharibi mwa Colombia, kama ilivyoripotiwa [es] na vyombo vya habari mnamo Alhamisi, Mei 1. HSBNoticias aliarifu kwenye mtandao wa Twita: [FOTOS] [+18] Se...