Ili kuepusha mashambulizi ya kemikali yanayowalenga hasa wanawake katika maeneo mbalimbali ya nchi, serikali ya Colombia itaanza kudhibiti [es] mauzo ya rejareja ya kemikali ya ‘chokaa’ na vitu vya kemikali kama salfa, haidrokloriki, mariati, chokaa, naitriki na sodiamu haidroksaidi, katika hali ya kimiminika na vipande
RCN Radio ilitoa taarifa kwenye mtandao wa Twita:
Gobierno alista decreto de reglamentación para venta de ácidos http://t.co/V9ABC4OXvz
— RCN La Radio (@rcnlaradio) Mayo 6, 2014
Serikali inaandaa amri ya kudhibiti uuzaji wa kudhibitiwa wa kemikali.