Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Februari, 2013
Costa Rica Yakumbwa na Tetemeko la Ardhi wa Ukubwa wa 7.6
Wananchi wa Costa Rica wamekuwa wakitwiti kuhusiana na tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo tarehe 5 Septemba saa 2:42 asubuhi, kwa kutumia alama habari #temblorcr and #terremotocr kuhabarishana yanayoendelea.