Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Julai, 2014
Zaidi ya Habari za Kombe la Dunia: Machozi Brazil, Mabomu Bahrain na Majanga Qatar
Unapaswa kujua zaidi ya kandanda kuelewa mashindano ya Kombe la Dunia. Deji Olukotun anachambua kwa kina masuala ya uhuru wa maoni na haki za binadamu.
Ajentina Yaichapa Uholanzi, Kukutana na Ujerumani Kwenye Fainali za Kombe la Dunia
Ajentina ilitinga katika fainali za kombe la Dunia kwa mara ya mwisho mwaka 1990 na ikapoteza kwa Ujerumani Magharibi, na hiyo inaufanya mchezo wa Jumapili...
Ajentina Yafurahia Mpinzani Wake wa Jadi Brazil Kuchapwa Vibaya na Ujerumani
Bendi ya Jeshi Alto Peru Mounted Fanfare Band ilipiga wimbo wakati wa gwaride la Siku ya Uhuru kwa kuchanganya na mashairi yenye vijembe kwa watani...
Mjadala Kuhusu Upatikanaji wa Mtandao wa Intaneti Wazidi Kushika Kasi Nchini Cuba
Raia wa nchini Cuba waendelea kudai kupunguzwa kwa gharama za mtandao wa intaneti pamoja na urahisi wa upatikanaji wake.
Namna Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza —na Hata Kuokoa—Lugha za Dunia
Waleta mabadiliko sasa wanatumia nguvu ya teknolojia kujaribu kuziokoa lugha zilizo kwenye hatari ya kupotea, na kwa nadra, kuzifufua lugha zilizokwisha kufa.