Habari kuhusu Siasa kutoka Septemba, 2012
Uganda: Binti awa Mbunge wa Kwanza Mdogo Kuliko wote Afrika
Afrika inachipuka na wanawake wa ki-Afrika wanachipuka nayo. Hivi sasa, Malawi na Liberia zinaongozwa na maraisi wanawake. Sasa nchini Uganda mbunge kinda kabisa kuliko wote...
Palestina: Maandamano Yalipuka Kupinga Ongezeko la Bei za Bidhaa na Ukosefu wa Ajira
Maandamano yanashika kasi katika mipaka ya Palestina, hasa katika miji mikuu katika Ukanda wa Magharibi. Waandamanaji wanalalamikia kupanda sana kwa gharama za maisha na ukosefu...