Habari kuhusu Siasa kutoka Aprili, 2016
17 Aprili 2016
Sheria ya Makosa ya Mtandao Tanzania Inafanya Iwe Hatari ‘Kumtukana’ Rais Kwenye Mtandao wa Facebook

Mtumiaji wa mtandao nchini Tanzania Isaac Habakuk Emily anatuhumiwa kuchapisha ujumbe wenye utata kwenye mtandao wa Facebook 'akimtukana' rais wa Tanzania
9 Aprili 2016
Yaliyojiri Wiki Hili Global Voices: ‘Nyaraka za Panama’ ni Kitu Gani?
Katika kipidni hiki, hedhi zatumika kisiasa nchini Poland, wa-Chile wenye asili ya Afrika wadai kutambuliwa nchini Chile, na wadhibiti mtandao nchini China wanafanya juhudi za...