Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Mei, 2019
Mwaka Mmoja Baada ya Maandamano wa-Nicaragua Hawaishii Kutaka Ortega Aondoke -Wanataka Mwanzo Mpya
"[Tunahutaji] kuung'oa udikteta, vitendo vya ngono, na tabia nyingine za hovyo zilizopenya kwenye utamaduni wa siasa za nchi hii."
Wanaharakati Nchini Colombia Wawasilisha Barua Kuhusu Mauaji ya Viongozi wa Kijamii Huko ICC
Zaidi ya viongozi 163 wa kijamii na wanaharakati wameuawa kwa zaidi ya miaka mitatu iliyopita nchini Colombia.
‘Jeshi halijamuua Yeyote,’ Asema Bolsonaro Baada ya Wanajeshi Kupiga Risasi 80 Kwenye Gari la Familia huko Brazil Na Kuua Mtu Mmoja
"Jeshi la watu, na huwezi kuwatuhumu watu kwa mauaji," alisema rais wa Brazil siku sita baada ya tukio lililoishangaza nchi.