Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Februari, 2014
Orodha ya Waliouawa Katika Maandamano ya Venezuela Yapatikana kwa Lugha Tano
Katika blogu ya Panfleto Negro [es], John Manuel Silva na Emiliana Duarte wanafuatilia orodha ya vifo vilivyotokea kufuatia maandamano yanayoendelea nchini Venezuela. Orodha hiyo -ambayo awali ilikuwa kwa lugha ya...
Pakistan, Usiingilie Vita vya Ndani ya Syria
Siku moja baada ya dondoo ndogo ya habari yenye kichwa cha habari, “Saudi Arabia ‘inatafuta uungwaji mkono kwa waasi wa” ilipoonekana kwenye magazeti ya Pakistani, mwanablogu wa siasa Ahsan Butt...
Shirika la UNICEF Latoa Wito wa Kutokuweko kwa Watoto Katika Maandamano Nchini Thailand
Baada ya mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono nakuwauwa watoto watatu katika maandamano ya kupambana na serikali katika eneo la Bangkok, Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa...
Sababu 10 Kwa nini Siafiki Shariah Nchini Pakistan
Mmoja wa msemaji wa Taliban alijitoa kwenye majadiliano ya hivi karibuni na serikali ya Pakistan na kudai kuwa ajenda ni pamoja na kuanzishwa kwa sharia kali. Mwanablogu wa Pakistan na...
Wavenezuela Waishio Mexico Wawambia Waandamanaji: “Hamko Pekeyenu”
Hali ya mambo nchini Venezuela yaendelea kuzorota, huku pakiwa na maandamano na mikusanyiko nchi nzima ayalisababisha vifo vya watu kumi na mamia kujeruhiwa mpaka sasa. Wavenezuela duniani kote wanaopinga serikali...
Maandamano ya Venezuela: ‘Vyombo vya Habari vya Kimataifa: Ingilieni Kati!’
Mpendwa Mhariri wa Kimataifa: Sikiliza na uelewe. Hali ya mambo imebadilika nchini Venezuela usiku wa kuamkia leo. Kile kilichokuwa kinaonekana kuwa hali ya kutokuelewana iliyokuwepo kwa miaka sasa imebadilika ghafla. Kile...
PICHA: Wavenezuela Waishio Ng'ambo Waungana na Waandamanaji
Wavenezuela wnaoishi nje ya nchi hiyo wameandaa maandamano kuunga mkono maandamano yanayoendelea nchini mwao. Picha zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwa alama za #iamyourvoicevenezuela #SOSVenezuela na #PrayForVenezuela, chache kwa kuzitaja.
Warusi “Wapuuza” Olimpiki na Kufuatilia Ghasia za Ukraine
Leo, baada ya ghasia na vurugu kuanza tena kwenye mitaa ya Kiev, na kugeuza kabisa upepo wa habari katika mitandao ya Kirusi. Kwa hakika, picha zinazokuja kutoka Ukraine zinaonyesha kitu kinachofanana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Mwandishi wa Habari Mwingine afariki Nchini Mexico: Gregorio Jiménez de la Cruz
Kaburi la siri lilikuwa ni mwisho wa maisha ya mwandishi wa habari wa nchini Mexico, Gregorio Jiménez de la Cruz.. Waliomuua, hadi sasa bado hawajafikishwa mahakamani.