Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Septemba, 2014
Uimarishaji wa Amani ya Kudumu Jamhuri ya Afrika ya Kati
Wakati Umoja wa Mataifa ukizindua mpango wake wa kulinda amani kwa kutuma wanajeshi 1,500 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, wafuatiliaji wachache wanajiuliza ni kwa nini uamuzi huu ulichukua muda...
ISIS Yaonesha Video ya Mauaji ya Mwandishi Steven Sotloff
Video ya dakika tatu inayodaiwa kuonesha kuuawa kwa kukatwa kichwa kwa Steven Sotloff, ambaye amekuwa akifanya kazi katika maeneo hatarishi ya Mashariki ya Kati yakiwemo ya nchi za Bahrain, Syria, Egypt, Libya na Uturuki.
Je Kulikuwa na Jaribio la Mapinduzi Nchini Lesotho?
Sikiliza sauti inayoelezea kile hasa kinachoendelea nchini Lesotho kufuatia madai ya mapinduzi ya kijeshi: Waziri mkuu amekimbilia nchini Afrika Kusini na anasema ni mapinduzi ya kijeshi. Jeshi la Lesotho linasema...
Video Ioneshayo Mtoto Akiokolewa Kutoka Kwenye Kifusi cha Jengo Lililolipuliwa kwa Bomu Nchini Syria
Bomu lililaharibu makazi ya Ghina na kupelekea kifo cha mama yake. Aliweza kuokolewa akiwa hai pamoja na kufukiwa na kifusi akiwa peke yake.