Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Oktoba, 2010
Moroko: Kupinga Mateso Sehemu Moja; Kupinga Mateso Kila Sehemu
Wanablogu wa Moroko wamekuwa wakionyesha kukasirishwa kwao juu ya tabia ya kutojali ya vyombo vya habari vikubwa na unafiki wa serikali yao kufuatia kifo cha kijana wa KiMoroko mikononi mwa wawakilishi wa serikali.