Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Julai, 2016
Hiyo Ndiyo Sababu ya Google Kubadili Majina ya Baadhi ya Miji ya Crimea—na Sasa Inarudisha Majina ya Awali

Kama vile ni miujiza, Google ilibadili ghafla baadhi ya majina ya miji kwenye pwani ya Crimea —kwa kutumia huduma yake ya Ramani za Google
Ayatollah Khomeini Alifariki Miaka 27 Iliyopita, Lakini Msaidizi wa Trump Anamtaka Alaani Shambulio la Nice Hivi Karibuni
Akiongea kwenye Kituo cha Fox News akiwa na Megyn Kelly, Flynn alisema kwa hasira, “Ninamtaka Imam, au Khomeini, atoke hadharani alaani itikadi hii ya isiyojitenga na damu ya Uislamu."
‘Watu Wanapanda Boti hizo kwa Kuwa Bado Wanahitaji Kuishi’
Kampeni ya uokozi Sos Méditerranée yachapisha kwenye blogu yao maelezo ya watu walioponea chupuchupu wakielekea Ulaya kupitia bahari ya Mediterranean
Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Ndugu, Timiza wajibu Wako: Uhuru, Si Udhibiti
Wiki hii tunakuchukua mpaka Puerto Rico, Kashmir, jimbo linalotawaliwa na India, Nepal, China na Myanmar.