· Oktoba, 2013

Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Oktoba, 2013

Kampeni ya Mtandaoni ya Kudai Amani Nchini Msumbiji

Blogu ya Mozmaniacos [pt] imezindua kampeni ya mtandaoni ya kudai amani nchini Msumbiji, kufuatia tishio la kuhatarisha amani iliyodumu kwa miaka 20 . Kwa kutumia kiungo habari #MozQuerPaz (#MozWantsPeace), watumiaji wa Facebook, Twitter, na Instagram waanza kuchangia picha zao pamoja na maoni yao kuhusiana na kampeni hii.