Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Juni, 2017
Salvador Adame ni Mwandishi wa Habari wa Saba Kuuawa Nchini Mexico Tangu Mwanzoni mwa 2017
"Ukweli haufi kwa kumuua mwandishi wa habari."
Kubaki au Kuondoka Hakutoi Mustakabali wa Wakazi wa Al-Waer Nchini Syria
Waasi pamoja na familia zao wanaihamisha ngome yao kutoka kwenye jiji hili lililobatizwa jina la "Kitovu cha Mapinduzi". Hizi hapa ni baadhi ya simulizi zao.