Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Januari, 2015
Wanawake wa Kiislam na Kikristo Nchini Nigeria Walivyoungana Kupambana na Misimamo Mikali ya Kidini
Mchungaji Esther Ibanga kiongozi wa ki-Islam Khadija Hawaja walianzisha Mradi wa Wanawake Wasio na Mipaka miaka michache iliyopita kama jitihada za kurudisha hali ya usalama na amani katika jamii zao.