Vita,Usimamizi Hafifu Wa Vyanzo Vya Maji na Mabadiliko Ya Tabia Ya Nchi Vyapelekea Uhaba Mkubwa Wa Maji.

Screenshot of a little girl surrounded by empty containers, taken from a video by Positive Yemen.

Yemen, ikiongoza kwa migogoro sugu ya haki za binadamu, mji huo umekua ukikumbwa na uhaba mkubwa wa maji mara kwa mara :kufuatia takwimu za  UNICEF watu zaidi ya milioni kumi na sita wakikosa huduma ya maji safi na salama nchini hapo.

“Je ni sahihi  kukosa haki ya msingi kabisa ya binadamu,kama maji?” Shoushou, ambaye ni mwanaharakati  kutoka mji mkuu wa Sana'a aliuliza, alipokua kwenye mahojiano mafupi na Global Voices.

Sana’a ni moja  kati ya miji kumi inayoongoza kwa uhaba wa maji duniani na ikisemekana kuwa kwenye hatihati ya kukubwa na ukame siku za usoni. Matumizi ya maji kwa wakazi katika mji huo wa Yemen Yemeni ni asilimia 95 pungufu ukilinganisha na wastani wa matumizi ya maji kwa wakazi wa Marekani.

Miaka mitatu mfululizo ya vita inatajwa kama moja ya chanzo cha  uhaba wa maji ambapo kulitokea uharibifu mkubwa katika vyanzo vya maji na baadhi ya mabomba makuu yanayosambaza maji. Mnamo mwezi Februari mwaka 2016, ndege za Saudi ziliripotiwa kuharibu hifadhi ya maji safi iliyokua ikisambaza maji kwa idadi ya takribani watu iliharibiwa 30,000 kwenye mji huo. Hii ilitokea mara baada ya shambulio kwenye mtambo mkubwa wa kusafisha maji jijini Mokha, hali ambayo pia ilichochewa vikali na mauungano wa Kisaudia.

Hata hivyo , usimamizi hafifu ni moja ya sababu zinazopelekea hali kuzorota. Matumizi ya kupekecha  maji machache yaliyo katika kina cha chini ardhini umekua ni utamaduni kwa serikali ya Yemeni pasipo mipango madhubuti kudhibiti vita isitokee.

“Nailaumu serikali kwa kushindwa kusimamia na kutatua mgogoro huu wa maji. Hakuna kiongozi anaejali mstakabali wa watu,” Shoushou akiiambia Global Voices.

Wakati maji haya machache yanayopekechwa chini ya ardhi yakiendelea kumalizika, Yemen inaelekea kukubwa na mabadiliko ya tabia ya nchi ya ukame. Mwaka 2009, Mamlaka ya Kilimo na Chakula UN ijulukanayo kama (FAO) ilitabiri kwamba Yemen itakuwa nchi ya kwanza duniani kuchenua rasilimali zake hasa vyanzo vya maji viavyopatikana chini ya ardhi.

Maji yamekua gali sana nchini hapo, wananchi wa kawaida hutumia zaidi ya asilimia 30 ya mapato yao kununua maji kwa matumizi ya nyumbani tu. Ni kiwango kikubwa sana.

Kadri hali inavyoendelea kuwa tete, makondo wamegeuza vyanzo vya maji kama silaha zao. Pande zote mbili ikiwemo Wa Houthi and Kisaudi waliweka majeshi kuzuia misaada ya chakula na maji iliyoelekezwa kwa raia wa nchi hiyo hivyo kuwaacha raia wa Ymen wakiteseka kuficha maji kwa hali na mali hata ikibidi kwenye mazingira machafu -backed forces have repeatedly blocked deliveries.

Hata kuchota maji imekua ni changamoto. Ikiachwa kuwa ni kazi ya wanawake na mabinti wadogo uhali vyanzo vya maji viko katika umbali mrefu kutoka kwenye makazi ya watu. Masafa hayo marefu yamekuwa yakipelekea mazingira hatarishi kwa vitendo unyanyasaji wa kijinsia kama ubakaji. Mimba zikiharibika kwa miongoni wanawake wajawazito wakiwa kwenye hatari ya kutumbukia ndani ya vyanzo hivyo vya maji huku wakibeba vyombo vya kuhifadhia maji vyenye uzito mkubwa sana.

Mabinti wadogo ambao hawana hata uwezo wa kubeba vitu vizito wanalazimika kubeba zaidi ya mara moja kwa siku. Hali hii inaweza kuendelea kwa siku nzima wakitafuta maji, huku wakisitisha masomo yao.

Milipuko Ya Kipindupindu

Uhaba wa maji umesababisha mlipuko wa magonjwa hatari kama kipindupindu nchini hapo Yemen, likirekodiwa kuwa ni mlipuko wa kwanza kuenea kwa kasi zaidi kwa magonjwa ya mlipuo. Zaidi ya watu milioni 1.1 million waekuwa waathirika wa kipindupindu sambamba na vifo vya watu  zaidi ya 2,300 tangu mwezi Aprili mwaka 2017..

Mmoja kati ya watu 62 lazima awe na maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu katika nchi hiyo . Wengi wao wakiwa ni kundi la watoto chini ya umri wa miaka saba. Hospitali zikipokea wastani wa wagonjwa 60 hadi sabini.

Shirika la Afya duniani imetoa tahadhari ya mlipuko ugonjwa huo kwa awamu ya tatu baada y kukubwa na milipuko miwili mfululizo kwa miaka ya hivi karibuni.

Kwa bahati  nzuri, kutibu kipindupindu sio kazi ngumu sana kukiwa na antibaotiki na dripu za kutosha ni rahisi sana kuokoa watu hata pale milipuko inapozidi. Ingawa tiba ni lazima ianze punde mara baaada ya kuona dalili, vinginevyo tunaweza kupoteza watu.

Umbali wa vituo vya afya ni changamoto: Mwaka 2017, takribani watu milioni 17 nchini Yemeni makazi yao hayakuwa karibu na vituo vya afya. Asilimia 45 tu ya jumla ya vituo vya afya nchini hapo vikitoa huduma kwa sasa..

Licha ya jutihada za taasisi za haki za binadamu duniani kama  UNICEF na WHO, uhaba huu mkubwa unapelekea wananchi wengi kukosa huduma ya afya. Machafuko yaliyotokea Augusti 2018  hayakusababisha vifo kwa wananchi tu yalileta maafa kwnye  hata hospitali ya Al Thawra Hospital huko Hudaydah.

The hospital averages around 50,000 consultations a month and is a major center for cholera treatment. After the attack, the cholera cases in Hodeidah rose by almost a third.

Miradi Inayochipukia

Mradi wenye namba #سقيا_1000‬⁩ uliokua na malengo ya kusambaza maji bure haswa kwa wananchi wenye uhitaji mkubwa kabisa. Ulizinduliwa mnamo Novemba 2017, kwa lengo la kujaza maji matanki 1000 ya maji kwenye mji mkuu uitwaolSana'a na vitongoji vyake. Mradi huu ulifikia lengo hapo Februari 2018. Kwa sasaradi huu ukinifaisha familia 6,194 families hadi 39,789.

Mpango harakati ambao pia umeweka hifadhi mpya na kusimamia usafishaji wa matanki hayo ya kuhifadhia maji kila mara baada ya muda. Pia , mradi huu umeweka matanki 14 mapya huku wakiyajaza maji 7  na ukisaidia kuyaendeleza matanki 21 yaliyokuwepo hapo awali. Mradi huu unawezeshwa na ufadhili wa watu wa Yemeni na mataifa mengine. Ukiwa unajitegemea.

Omar Mohamad, mwanaharakati ambaye ni mmoja kati ya wanaondesha mradi huu aliambia Global Voices:

The project started on social media. We got the support of people from inside and outside Yemen. Their support was the main reason we were able to succeed.  We did not receive support from any political party. Alhamdulillah, we reached our goal in February 2018. After that, the movement turned into a project that regularly ensures reservoirs are filled. In the first half of this year, the project was working perfectly and according to the plan. But recently there’s a lack of support, and the shortage is increasing day by day. Therefore we seek alternative sources from traders or donors to support the project.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.