Habari kuhusu Lugha kutoka Februari, 2014

Honduras Yazindua Kamusi ya Mtandaoni ya Lugha za Asili

Kamusi ya lugha za asili nchini Honduras ilisambazwa mtandaoni hivi karibuni[es]. Gazeti la Honduras liitwalo Tiempo [es] linaeleza kuwa kamusi hii “imejumuisha maneno yanayofanana katika...

Orodha ya Waliouawa Katika Maandamano ya Venezuela Yapatikana kwa Lugha Tano

Katika blogu ya Panfleto Negro [es], John Manuel Silva na Emiliana Duarte wanafuatilia orodha ya vifo vilivyotokea kufuatia maandamano yanayoendelea nchini Venezuela. Orodha hiyo -ambayo...