Habari kuhusu Bulgaria
Wanaharakati wa Mazingira wa Bulgaria Wapata Ushindi Muhimu wa Mahakama Kufuatia Kampeni yao ya #SaidiaHifadhiyataifayaPirin
"Habari njema kwa @zazemiata + maelfu ya watu wanaandamana dhidi ya mpango wa uharibifu wa #Hifadhi ya Taifa ya Pirin nchini Bulgaria! #SaidiaPirin"
Alfabeti Hufurahisha na Kuhuzunisha Nchini Bulgaria
[…] Mojawapo ya likizo safi na takatifu zaidi nchini Bulgaria! Ni sherehe itupayo fahari ya kuwa tumetoa kitu chochote duniani! Ni likizo isiyohusiana na waasi wowote, vita, wala vurugu, ingawa...
Bulgaria: Gharama Kubwa za Nishati Zasababisha Maandamano
Ruslan Trad anataarifu kuwa, siku ya Jumapili tarehe 17 Februari, makumi ya maelfu ya watu katika mji mkuu wa Bulgaria, Sofia pamoja na majiji mengine waliendelea na maandamano kupinga bei kubwa za nishati ya umeme pamoja na gharama za kupasha joto.
Basi la Watalii Raia wa Israeli Lashambuliwa Nchini Bulgaria
Watu wapatao saba wameuawa katika shambulio la la kijana wa Kiyahudi katika basi la kitalii lililokuwa katika uwanja wa ndege wa Burgus nchini Bulgaria. Ripoti zinadai shambulio linaonekana kuwa la kujitolea mhanga, lililofanywa na kijana alikuwa ama karibu na basi au alikuwa ndani ya basi.
Ulaya: Siku ya Kimataifa ya Bahari Nyeusi
Katika Th!nk About It, Adela anaandika kuhusu Siku ya Kimataifa ya Bahari Nyeusi.