Mazungumzo ya GV: Namna ya kushinda Ufadhili wa Miradi Midogo ya Rising Voices

Je, unalo wazo la kuisaidia jamii yako kusimulia habari zao kupitia mitandao ya kijamii? Je, unahitaji fedha na msaada? Je, unahitaji kuwa sehemu ya mtandao ya dunia unakusudia kuondoa tofauti ya kidijitali?

Basi unahitaji kutuma maombi kwa ajili ya kupata ufadhili wa miradi midogo ya Rising Voice 2014!

Ijumaa hii kwenye Mazungumzo ya GV timu ya Mradi wa Global Voices unaosaidia sauti changa kusikika (Rising Voices) itakuwa ikijadili namna bora ya kushinda shindano la ufadhili wa miradi midogo.

Laura Morris, Mhariri wa Rising Voices anaongea na washindi waliopita kutoka Naijer, Guatemala ana Ugiriki kuhusu utaratibu wa kutuma maombi, miradi yao na uzoefu wao wa kuwa sehemu ya jamii ya Rising Voices.G
– Orsolya Jenei, mratibu wa mradi wa Mapping for Niger (Mshindi wa 2013)
– Romeo Rodriguez, mratibu wa mradi wa Xela Civic Libraries Guatemala (Mshindi wa 2012)
– Alexia Kalaitzi, mratibu wa mradi wa Blind Dates, Ugiriki (Mshindi wa 2011)

Kiungo cha tukio hilo kiko hapa. 

5 maoni

  • siraji fulana

    jamani natafuta wafadhili nina wazo la kuelimisha viongozi wa makundi mbalimbali ya kijamii nitapataje wafadhali?

    • Siraji Fulana

      Habari Wapendwa Nina Wazo Nataka Kuanzisha Mradi Wa Kufuta Ujinga Vijijini.Na Pia Mradi Wa Kujengea Uwezo Viongozi Wa Makundi Mbalimbali Ya Kijamii Vijijini.Masomo Yatakua Ni Uongozi Na Utawala Bora,usimamizi Wa Miradi Ya Maendeleo,mipango Shirikishi Ya Kuleta Maendeleo,elimu Ya Ujasiria Mali,stadi Za Mawasiliano,mbinu Za Kuhamasishia Jamii Katika Kuleta Maendeleo,na Masuala Mtambuka,walengwa Ni Watu Wasio Weza Kusoma Na Kuandika,viongozi Wa Serikali Za Mitaa,viongozi Wa Dini,vikundi Vya Akina Mama ,vicoba,viongozi Wa Jumuia Za Vijana, Natafuta Wafadhili Watakao Ni Fadhili Ili Niweze Kutekeleza Wazo Wangu Ili Kuleta Maendeleo Katika Jamii Email Yangu sirajifulana@gmail.com

  • grace

    habari watanzania wenzangu.
    nina wazo la kuanzisha mradi kusaidia watanzania wanaoishi kwenye mazingira magumu na kuwawezesha pia wapate elimu wa vijijini na mjini

  • Habari mimi ni Mwandishi wa Habari kitaaluma, tayari nimeanza kulifanyia kazi wazo langu la kuwasaidia wanafunzi kimasomo, ambapo tayari tumeanza toka mwaka juzi katika tofauti zikiwemo Zanzibar na Tanzania Bara.

    Kwa sasa nimepanga kuzisaidia shule katika mkoa wa Pwani ambapo tupo timu ya watu saba ambao tumejitolea kufundisha shule hususani masomo ya Sayansi ili kuongeza ufaulu na uelewa wa Wanafunzi.

    Malengo kuzunguuka Tanzania nzima bali tumeanza Mkoa huo ili kuweza kupata changamoto ambazo zitatujenga kufikia malengo yetu.

    Ndugu zangu nipo tayari kukuwalika ikiwa umevutiwa na wazo hili pamoja na kunisaidia ushauri na hata ufadhili wa mradi huu.

    Akhsante
    Salum Simba—-0712045119/ 0678679637 //// salumsimba@gmail.com
    “Bila ya kujituma, Sahau kuheshimiwa” — Salum Simba

  • AM A UNIVERSITY STUDENT TEACHER I NEED TO BE A WRITER OF LITERATURE BOOKS IN ORDER TO EDUCATE THE SOCIETY ABOUT THE DIFFERENT ISSUES ACROSS THE UNIVERSAL FOR EXAMPLE I BEGAN TO WRITE A NOVEL KNOWN AS MAGIC BOSS IN SWAHILI BOSI WA MAAJABU I NEED FINANCIAL SUPORT MY NUMBER IS 0655688978 OR MY EMAIL IS farajiiddihemedi@gmail.com

jiunge na Mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.