Habari kuhusu Ulaya Magharibi kutoka Mei, 2021
MUBASHARA mnamo Mei 20: Tunachojifunza kuhusu Ulaya kupitia Shindano ya Eurovision
Shindano la Uimbaji la Eurovision linatuambia nini kuhusu siasa, taswira na maadili ya Ulaya? Ungana nasi mnamo Mei 20 kufahamu zaidi. Kipindi hiki kitaonesha mahojiano na washiriki wawili wa mwaka huu!