Habari kuhusu Ulaya Magharibi kutoka Januari, 2014
UBUNIFU: Makontena Yatumika Kama Hosteli za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Ulaya
Ili kuondoa uhaba wa hosteli kwa ajili ya wanafunzi unaovikabili vyuo vikuu barani Ulaya, baadhi ya vyuo vikuu nchini Denmaki, Ujerumani, Ufaransa (Le Havre) [fr] na Uhispania vimejaribu kubadili makontena na kuyafanya yawe...